MWALI KANOGA, ITEL KUJA NA ABLE 1 LAPTOP

Baada ya kampuni pendwa ya itel mobile Tanzania kubadilika na kuwa itel Tanzania, imeongeza wigo wa bidhaa zake kutoka kwenye bidhaa za simu tu iliyokua nazo awali. Sasahivi itel imekua ni kampuni ya kielektroniki inayotengeneza bidhaa nyingi za kielektroniki kama vile simu, spika, earphones, TV, laptops, n.k


Hivi karibuni itel imeleta mwali mpya ambaye ni itel Laptop inayoenda kwa jina la Able 1. Laptop hii ni nzuri na imewalenga watumiaji wa kwanza wa laptop kama vile wanafunzi au watu wanaoanza kazi. Ukiachana na umbo zuri, laptop hiyo pia ina sifa nzuri na za kutosha kabisa kwa matumizi yote muhimu ya kompyuta ambayo mtumiaji atahitaji.

Baadhi ya sifa chache za laptop hiyo ya Able 1 ni hard disk yenye 1TB, Windows 10, intel Celeron Processor, HD Webcam, uzito mwepesi wa 1.4kg na nyingine nyingi. Unaweza fika katika maduka ya little more pamoja na maduka ya laptop na uulizie itel Able 1 laptop ili kuweza kujua kwa undani sifa nyingine cha kifaa hicho bomba.

Sasa mzigo tayari upo madukani. Tembelea kurasa za mitandao ya kijamii za itel Tanzania kuweza kujua zaidi kuhusu bidhaa hiyo, promosheni pamoja na kuwa wa kwanza kuhabarishwa kwa taarifa nyingine zozote.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s