INFINIX STAR ALLIANCE: MUDA WA KUONYESHA KIPAJI CHAKO NA KUSINDA HADI Tsh 5,000,000.

Kampuni ya simu janja za mkononi Infinix ina waletea watumiaji na wapenzi wa simu janja za kampuni yao shindano maridani kubwa litakalo ibua vipaji vya watanznia wote. Lengo la shindano hili ni kuwapa nafasi vijana wote kuonesha na kukuza vipajI vyao ndani na nje ya Tanzania na kwa uzuri zaidi kampuni ya infinix haijaweka wigo wowote wakuzuia aina ya kipaji. Onyesha kwa ufundi chochote kile unachoweza kupitia kipaji chako kama  kucheza, kuimba, kutangaza, kuchekesha kuchora nakadhalika ni muda wako sasa wa kujishindia hadi sh.5,000,000 cash.

Kanuni za kushiriki,

  • Washiriki wote wanatakiwa kushiriki shindano hili kwa njia ya bmtandao wa kijamii Instagram, chakufanya
  • Tuma na sambaza video yako ukiwa unaonesha kipaji chako kwenye mtandao wa kijamii instagram
  • Tumia hashtag #10ya10search na kisha tag @infinixmobiletz
  • Shirikisha Rafiki zako ili waweze kushiriki nawe kwenye video yako

Zawadi kwa shindano

  • Mshindi wa 1 anapata 4,600,000Tsh, simu janja kutoka infinix na ticket kuhudhulia uzinduzi wa simu mpya ya infinix.
  • Mshindi wa 2 kuondoka na 2,300,000Tsh, simu janja na ticket ya kuhudhuria uzinduzi wa simu mpya ya Infinix
  • Mshindi wa 3 had wa 10 kuondoka na 1,150,000Tsh, simu na ticket ya kuhudhuria uzinduzi wa simu mpya ya Infinix.

Mashindano haya kuendeshwa na wasanii maarufu kutoka kwenye tasnia ya Music, utangazaji, comedy na kadhalika tafadhali tembelea @infinixmobiletz kwa mengi zaidi.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s