FAHAMU SIFA ZA SIMU YA INFINIX HOT 10T.

Infinix HOT 10t ni simu mpya kutoka toleo la HOT. Infinix HOT 10t sifa kuu ni G70 processor na kamera tatu kamera kuu ni MP48 vile vike simu hii ina battery ya mAh 5000 na wigo mpana wa koo cha nchi 6.82 90hz. Simu ya Infinix HOT 10t kwa sasa inapatika katika maduka ya simu nchini kote ikiwa na ofa ya GB78 kutoka Tigo.

Tudadavue kwa undani faida ya kila sifa ya Infinix HOT 10t.

 Kamera:

MP48+2+lens na MP8 ya camera ya mbele hufanya picha zilizochukuliwa na camera hizi kuwa ang’avu na zenye uhalisia kulingana na mazingira usika. flash ya Infinix HOT 10t husaidia katika nyakati za usiku kupata picha bora na za kuvutia.

Battery:

Infinix Hot 10t ina mAh 5000 za battery. Battery ya Infinix HOT 10t inakupa nafasi yakufanya vitu vingi kama vile kucheza games, kuangalia movie, kusikiliza music nakadhalika pasipo kukata chaji kwa zaidi ya masaa 24.

Memory:

GB4/64 ya HOT 10t inauwezo wa kuhifadhi vitu mbalimbali au naweza nikasema files nyingi kama files za picha, videos, vitabu vya kujisomea na hata application zenye uwezo wa kukaa kwenye memory card.

kioo:

kioo cha Hot 10t ni nchi 6.82 kimeambatana 90hz hii ni teknolojia yenye kukifanya kioo kiwe smooth pindi utaumiapo simu yako. Kioo hiki cha HOT 10t na 90hz huongeza ufanisi na wepesi wakati wa kuperuzi na kufungua application za simu.

Android:

Infinix HOT 10t inatumia Android 11. Android 11 ni nyepesi kutumia hata kwa yule aliyemgeni katika ulimwengu wa simu janja basi hawezi pata shida wakati wa kuitumia simu hii lakini pia Adroid 11 inaruhusu simu kupata update mpya za application.

Tigo ofa:

HOT 10t inapatikana katika maduka ya simu ikiwa na ofa ya GB78 kwa mwaka, kupitia ofa hii utafurahia kasi ya internet ya 4G kutoka kwenye simu yako.

Infinix HOT 10 Play inapatikana katika maduka ya Tigo na Infinix nchini kote.

Tembelea https://www.infinixmobility.com/tz/ au piga namba 0744606222.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s